Nahodha Serengeti: Kukosa uzoefu kulitugharimu. Omar Wayne-Nahodha wa Serengeti Boys. "Hofu ya kucheza mechi za kimataifa kulitugharimu. Tulikuwa tunawaogopa wapinzani, lakini kadri muda ulivyozidi kwenda tukawa tunawazoea kidogokidogo. Mechi ya marudiano hatutokuwa na hofu tena". Read more about Nahodha Serengeti: Kukosa uzoefu kulitugharimu.