Iryn asitisha show kupisha msiba
Msanii wa muziki Iryn Namubiru, ametangaza kusitisha shughuli zake za kimuziki, ikiwepo tukio la uzinduzi wa video zake mpya ili kupisha shughuli za msiba wa mtoto wa pekee wa msanii Juliana Kanyomozi, Keron ambaye atazikwa Ijumaa hii.

