Uchukuaji fomu za urais CCM waanza leo
Chama cha Mapinduzi CCM kimetangaza ratiba ya uchukuaji fomu za kugombea nafasi hiyo kesho/leo kwa makada waliotangaza nia ambapo makada watano watapata fursa ya kuchukua fomu hizo na kwenda kutafuta wadhamini.