Serikali yatakiwa kurahisisha upatikanaji pembejeo
Wakulima wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe wameiomba serikali kutazama namna ya kurahisisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakulima wadogo ili kuinua kilimo na uchumi wa wakulima hao na kuwafanya kushiriki katika ukuzaji wa uchumi wa taifa.