Mikoa mitano yathibitisha ushiriki NBL

Mikoa mitano nchini imethibitisha kushiriki ligi ya taifa ya mpira wa kikapu NBL inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei nane mpaka 17 mwaka huu uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS