Mieleka kwa vijana kufanyika Mei 3 Dar es salaam Mashindano ya mchezo wa Mieleka kwa vijana wenye umri wa miaka 17 yanatarajiwa kufanyika Mei tatu mwaka huu wilayani Kisarawe Mkoani Pwani huku yakiwa na lengo la kufundisha sheria zake. Read more about Mieleka kwa vijana kufanyika Mei 3 Dar es salaam