Busungu akabidhiwa jezi ya Nizar Klabu ya Yanga imesema, inasajili wachezaji kutokana na nafasi na kipaji alichonacho mchezaji ili kuboresha kikosi katika msimu ujao wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara. Read more about Busungu akabidhiwa jezi ya Nizar