UKAWA watangaza kuikataa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Viongozi kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi - UKAWA.

Vyama vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA vya CUF, CHADEMA na NCCR Mageuzi, vimesema havina imani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwamba ina uwezo wa kusimamia mazoezi mbalimbali ikiwemo uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS