Timu ya Taifa Netiboli yakabiliwa na ukata

Safari ya Timu ya Taifa ya mpira wa Netball Taifa Queens kushiriki mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika nchini Namibia huenda ikaota mbawa kufuatia timu hiyo kukabiliwa na ukata.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS