Kila kitu kimekamilika TAFA 2015
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba ametangaza kukamilika kwa taratibu zote za maandalizi ya tuzo kubwa za filamu TAFA 2015, tukio litakalofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyrere, kuanzia saa 2 usiku.