Hatujamjua kocha wa kumrithi Goran - Hanspope
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope amesema, bado hawajajua ni kocha yupi ama mzawa au kutoka nje ya nchi atakayerithi mikoba ya kocha aliyeondoka katika kikosi hicho, Goran Kopunovic.