Polisi wamsaka mbaya wa G-Snake
Baada ya msanii wa muziki G-Snake kutoka nchini Uganda kushambuliwa na kuumizwa vibaya na promota wa muziki anayefahamika kwa jina Frank Jay almaarufu kama DJ Frank, polisi nchini humo wanaendelea kumsaka mtuhumiwa huyo.