Mwaikimba asaini mwaka 1 JKT Ruvu Mshambuliaji mkongwe Gaudence Mwaikimba ametua JKT Ruvu iliyopania kujiimarisha ili ifanye vizuri msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Read more about Mwaikimba asaini mwaka 1 JKT Ruvu