Ushirikiano na vituo vya nje kukuza vipaji-Manyika Kocha wa kituo cha Magolikipa nchini TGC, Manyika Peter amesema, kituo chake kipo katika mpango wa kuwapatia timu za nje magolikipa wake li kuweza kukuza zaidi vipaji vyao. Read more about Ushirikiano na vituo vya nje kukuza vipaji-Manyika