Mnigeria wa Stand Abasarim Chidiebele atua Coastal
Abasarim Chidiebele kushoto akifanya mahojiano na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutua Coastal
MSHAMBULIAJI wa timu ya Stand United,Abasarim Chidiebele amesaini mkataba wa kuitumikia timu ya Coastal Union kwa mkataba wa miaka mmoja katika msimu ujao wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.