Peen Lawyer: Bongo Flava na Kiswahili vinauza nje

Peen Lawyer

Star wa michano kutoka hapa Tanzania mwenye makazi yake huko Hamburg Ujerumani, Peen Lawyer ameeleza kukua kwa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania na lugha ya Kiswahili kwa ujumla, akiwa kama msanii anayefanya muziki huo kutoka nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS