Mayanja asaini kuinoa Coastal Union miaka miwili

Kocha Mkuu wa Coastal Union, Jackson Mayanja

Timu ya Coastal Union,Wagosi wa Kaya ya jijini Tanga imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha Coastal katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS