Kikosi U 15 chaingia kambini chini ya kocha Shime
Kikosi cha vijana chini ya miaka 15 kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya kombaini ya umri chini ya miaka 15 ya mkoa wa Mbeya utakaofanyika siku ya Jumapili chini ya Kocha Mkuu Bakari Shime.
