Taifa Queens kuelekea Botswana kesho
Kikosi cha wachezaji 16 cha Timu ya Taifa ya mpira wa Netiboli inatarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini Botswana kujiandaa na mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Juni 27 mwaka huu kwa kushirikisha nchi takribani 19

