Jaguar aonesha nia kumsaidia kijana aliyekamatwa
Star wa muziki wa nchini Kenya, Jaguar ameonesha nia ya dhati kumsaidia kijana aliyekamatwa kwa kosa la kuruka ukuta wa ikulu nchini humo, kwa lengo la kwenda kuonana na Rais Uhuru Kenyatta kumuomba fedha za kuingia studio kurekodi ngoma zake.

