Baraka kwa Barakah: Mwaka 1 mafanikio ndani na nje
Msanii bora anayechipukia wa mwaka huu, Barakah Da Prince ameweka wazi kuwa anajivunia kuweza kufikia mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja pekee, kutoka kwenye U-underground na kuweza kutikisa chati mbalimbali za kimataifa.

