Nini kitatokea ikiwa mtu amejiandikisha zaidi ya Mara moja? Ni kosa la Jinai mtu kujiandikisha zaidi ya mara moja, na ikitokea, mtu ataadhibiwa kulingana na Sheria za Uchaguzi. Read more about Nini kitatokea ikiwa mtu amejiandikisha zaidi ya Mara moja?