Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo akiwa ametembelea soko la Masasi lilitoeketea kwa moto.
Soko kuu la halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara limeteketea kwa moto usiku wa jana, na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wa soko hilo.