Lema aahirisha maandamo kukutana na Jaji Mutungi
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesitisha maandamano ya kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza muda katika vituo vya uandikishaji, kufuatia mazungumzo yake na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.

