Jambazi auawa katika mapambano na polisi Kigoma Kamanda Mtui akionesha bunduki iliyokamatwa Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa katika mapambano na polisi katika kijiji cha Kibande wilayani Buhighwe mkoani Kigoma. Read more about Jambazi auawa katika mapambano na polisi Kigoma