Simba hatarini kumkosa Hajib ufunguzi ligi kuu Simba SC itamkosa mshambuliaji wake hatari, Ibrahim Hajib katika mchezo wake wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kesho dhidi ya African Sports uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Read more about Simba hatarini kumkosa Hajib ufunguzi ligi kuu