Noah PV: Watanzania tupigeni kura kwa wingi Msomi na Msanii wa muziki Noah PV Msomi na Msanii wa muziki Noah PV ameongezea nguvu harakati za kampeni kuhamasisha watanzania kushiriki katika zoezi zima la kupiga kura, na hii ni kupitia projekti ambayo inasimama kwa jina 'Kura Yako'. Read more about Noah PV: Watanzania tupigeni kura kwa wingi