AT ataka itikadi zisizo na chuki
Katika kipindi hiki ambacho mgawanyiko wa wasanii walioweka wazi misimamo yao kisiasa unaonekana dhahiri, msanii wa muziki AT ameibuka na kueleza kuwa, kuna umuhimu wa pande zote kufahamu kuwa, kutofautiana ki itikadi ni jambo la kawaida kabisa.

