Wananchi Arusha kugaiwa Ekari 7000

Serikali inatarajia kuwagawia wananchi ekari 7000 za ardhi, zilizonyanganywa kwa muwekezaji toka nje wa mashamba ya Tanzania Plantation Limited, ili kuweza kutatua mgogoro wa ardhi mkoani Arusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS