Kivumbi cha ligi kuu bara kesho kwa vilabu 16
Kivumbi cha ligi kuu ya soka Tanzania Bara 2015/2016 kinatarajiwa kuanza hapo kesho kwa mechi saba kupigwa katika viwanja saba hapa nchini huku mchezo mmoja ukipigwa Jumapili uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

