Morogoro yafanikiwa kumaliza kipundupindu
Halmashauri ya manispaa ya Morogoro imefanikiwa kuondoa ugonjwa wa kipindupindu kutokana na jitihada mbalimbali zilizofanywa ambapo wananchi wameshauri elimu zaidi na usimamizi kwenye suala zima la usafi kufanyika ili kudhibiti kabisa ugonjwa huo.
