Wanawake mkoani Kagera kupimwa saratani bure
Kampuni ya Stamigold mkoani Kagera imeanzisha huduma ya upimaji wa saratani ya kizazi na utoaji tiba bure kwa akina mama waishio katika vijiji jirani vinavyo uzunguka mgodi huo ili kuweza kunusuru maisha yao.
