Prisons na Jeshi Stars kufungua pazia ligi DAREVA Timu za Prisons na Jeshi Stars zinatarajiwa kufungua pazia la ligi ya mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 29 mpaka Novemba 29 mwaka huu. Read more about Prisons na Jeshi Stars kufungua pazia ligi DAREVA