Wanawake Singida walalamikia walanguzi wa mazao

Mke wa mgombe urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),Mama Regina Lowasa.

Wanawake wa mkoa wa Singinda wamelalamikia wafanyabiashara kununua mazao yakiwa mashambani kwa rumbesa kwa bei wanayoitaka hali inayowaumiza kutokana na kulima kwa hasara na hivyo kuwataka wagombea waje na majibu jinsi ya kuwasaidia kupata masoko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS