Tanzania,Ethopia zafanikiwa kuzuia ndoa za utotoni
Tanzania na Ethiopia zimefanikiwa katika kuepusha wasichana kuozwa na badala yake wanaendelea na masomo kutokana na mikakati kadhaa iliyotumika ikiwemo kushirikisha jamii katika mijadala kuhusu umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike.

