Mahakama Mwanza leo kutoa uamuzi mwili wa Mawazo

Wakili wa upande wa mlalamikaji John Malya akizungumza na vyombo vya habari baada ya kuairishwa kwa kesi hiyo hapo jana.

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajiwa kutoa maamuzi ya kuagwa ama kutoagwa kwa mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS