Bomoa bomoa yatia timu Mkwajuni/Jangwani DSM Wananchi waliojenga na kuweka makazi ya kudumu katika eneo la Jangwani/Mkwajuni jijini Dr es salaam wamekumbwa na taharuki baada ya kazi ya kubomoa nyumba zao kuanza hii leo chini ya Manispaa ya Kinondoni Read more about Bomoa bomoa yatia timu Mkwajuni/Jangwani DSM