Sauti Sol wakamilisha albam
Kundi la muziki la Sauti Sol linaloshikilia rekodi ya kushinda tuzo kadhaa limekamilisha na kuachia albam yao ya 3 inayoitwa Live and Die in Afrika ambayo tayari imeanza kujivunia sifa kubwa kutangaza muziki na utamaduni wa bara la Afrika.