TFF yaitaka DRFA kuingilia kati mgogoro TEFA Shirikisho la soka nchini TFF limesema, chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA inatakiwa kuchukua hatua katika mgogoro wa uchaguzi uliopo katika chama cha mpira mkoa wa Temeke TEFA. Read more about TFF yaitaka DRFA kuingilia kati mgogoro TEFA