Wanafunzi chuo kikuu SUA walia na bodi ya mikopo

Rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), Osca Ndunguru

Wanafunzi 156 wa kozi tofauti katika chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Sua wako hatarini kushindwa kuendelea na masomo kufuatia bodi ya mikopo kushindwa kuliwapa feha za mikopo kwa madai kuwa hawajapeleka vielelezo vyao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS