Kuna changamoto lakini tutashinda tenisi- Riziki
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya mchezo wa tenisi kwa walemavu ya Tanzania Riziki Salum amesema japo kuna mapungufu katika maandalizi ya mashindano ya wazi ya kitaifa ya mchezo huo lakini wanaamini watafanya vizuri.

