Waziri mkuu atinga bandarini akutana na "majipu" Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara ya ghafla kwenye kitengo cha upimaji mafuta bandarini (Oil Flow Metres) na kukuta zimejaa kutu baada ya kutelekezwa kwa miaka zaidi ya mitano. Read more about Waziri mkuu atinga bandarini akutana na "majipu"