Riadha waingia kambini kujiandaa na Olympic ya Rio Kikosi cha timu ya taifa ya riadha kimeanza kujikusanya kambini kwenye chuo cha misitu mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Olympic mjini Rio baadaye mwaka huu. Read more about Riadha waingia kambini kujiandaa na Olympic ya Rio