Dereva asinzia, asababisha ajali na kuua watu 11 Watu 11 wamefariki dunia wakiwemo madereva wawili na mtoto mmoja na wengine 29 kujeruhiwa baada ya basi la abiria la Simba Mtoto kupata ajali kwa kugongana na lori Mkoani Tanga. Read more about Dereva asinzia, asababisha ajali na kuua watu 11