Watanzania wanne wauawa nchini Msumbiji

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe

Wafanyabiashara Wanne raia wa Tanzania wameuawa nchini Msumbiji watatu kati yao wakipigwa risasi baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa na silaha za moto na mapanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS