Kijana wa miaka 37 kuongoza soka la Kenya Mwenyekiti wa klabu ya Kariobangi Sharks inayocheza ligi ya daraja ya chini nchini Kenya Nicholas Mwendwa ameshinda kiti cha urais wa shirikisho la soka nchini humo (FKF). Read more about Kijana wa miaka 37 kuongoza soka la Kenya