Wajawazito hatarini kwa kukosa barabara Arumeru
Zaidi ya wakazi 5000 wa kata ya Laroi wilaya ya Arumeru Magharibi Mkoani Arusha wanakabiliwa na adhaa kubwa ya ukosefu wa barabara na vivuko,jambo linalohatarisha maisha yao kwa kukosa huduma za muhimu za kibinaadamu hasa kipindi cha mvua.
