TRA yawataka wajasiriamali kusaidia ulipaji Kodi
Mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) imewataka watanzania kuisaidia nchi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kujitokeza kulipa kodi na kuhalalisha shughuli wanazozifanya kwa kushirikiana na mamlaka hiyo.
