Mwadui yatamba nyumbani, Mtibwa yatulizwa Songea

Mshambuliaji kinda, Hassan Salum Kabunda, mtoto wa beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Salum Kabunda 'Ninja' amefunga mabao yote mawili, Mwadui FC ikishinda 2-1 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS