Mimba na ndoa za utotoni zashamiri Tanga Mkuu wa Wilaya ya Handeni Husna Rajab Msangi Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga inakabiliwa na changamoto ya Mimba za utotoni kuanzia umri wa miaka 14 hadi 17 na kushindwa kuendelea na masomo kutokana na ndoa za utoto na kutokujua elimu ya Afya ya Uzazi. Read more about Mimba na ndoa za utotoni zashamiri Tanga